Chuo kikuu cha Arusha(UoA) wageuza supplementary exams mradi

kipusatembo

Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
88
Reaction score
29
Sidhani kama ni kawaida kwa vyuo vingne kukataa matokeo ya mwalimu fulani kuwa eti wanafunzi wamefaulu sana na arudie upya kusahihisha wakitaka wanafunzi wafeli ili uongozi upate pesa za SUPPLEMENTARY EXAMZ maana kwa chuo hicho mitihani hulipiwa Tshs.25,000/= kila mtihani hivo mtu akiwa na mitihani mitatu maana yake Tshs.75,000/= inamuhusu aisee......
alichokisema mwalimi ni kuwa wanafunzi wangu wamefauli kwa maana nliwafundisha vizuri ila uongozi ukatia ngumu na kumsimamisha kazi mwalimu wa watu poleh Mr. Sayi.
Je hii ni sawa kweli wadau ama ni ushamba wangu tuu....
 
Hiyo ni kawaida sana hapa Tanzania.., cha ajabu sasa.., wakifanya supplementary.., wanasapua wote..! hata kama walikuwa 200!!, inamaana wote wamekuwa ma-genius ghafla..??!
 
vyuo vya kata ; you have a long way to go.
 
Shida ya vyuo binafsi ni lazima wawabembeleze wanachuo wao ili waendelee kuwavutia wanafunzi wengine kwa miaka mingine.kwa sababu bila wanachuo hakuna pesa na chuo kitakufa.
 
Sidhani kama ni kawaida kwa vyuo vingne kukataa matokeo ya mwalimu fulani kuwa eti wanafunzi wamefaulu sana na arudie upya kusahihisha wakitaka wanafunzi wafeli ili uongozi upate pesa za SUPPLEMENTARY EXAMZ maana kwa chuo hicho mitihani hulipiwa Tshs.25,000/= kila mtihani hivo mtu akiwa na mitihani mitatu maana yake Tshs.75,000/= inamuhusu aisee......
alichokisema mwalimi ni kuwa wanafunzi wangu wamefauli kwa maana nliwafundisha vizuri ila uongozi ukatia ngumu na kumsimamisha kazi mwalimu wa watu poleh Mr. Sayi.
Je hii ni sawa kweli wadau ama ni ushamba wangu tuu....

samahani mtoa hoja nawe ni mmoja wa wajumbe wa kamati ya matokeo chuoni hapo au umesikia kuwa iko ivo maana hearsay is not admissible unless otherwise provided
 
rolla poleh kama University of Arusha unafikiri ni chuo cha kata hebu uliza uliza utasikia....... wasabato ni noma academicwise hamnaga ni matatizo madogo madogo tu wanahitajo wajipange.
 
samahani mtoa hoja nawe ni mmoja wa wajumbe wa kamati ya matokeo chuoni hapo au umesikia kuwa iko ivo maana hearsay is not admissible unless otherwise provided

chumvi chumvi mheshimiwa hujasomeka...... come again wanasemaga wazungu.
 
vyuo vya kata ; you have a long way to go.

wewe acha ushamba, ujuha na mawazo mgando. Eti chuo cha kata wakati wewe umesoma kwenye mavyuo yenye majina makubwa na kuambulia gentle na lower second na kazini ufanisi ziro
kwa taarifa taarifa yako uoa ni kati ya vyuo vichache vinavyotoa wanafunzi walioiva barabara (competent) kama huamini waulize waajiri product za wana uoa zilivokuwa bora. u are a hopeless guy mazafanta.
 
Sidhani kama ni kawaida kwa vyuo vingne kukataa matokeo ya mwalimu fulani kuwa eti wanafunzi wamefaulu sana na arudie upya kusahihisha wakitaka wanafunzi wafeli ili uongozi upate pesa za SUPPLEMENTARY EXAMZ maana kwa chuo hicho mitihani hulipiwa Tshs.25,000/= kila mtihani hivo mtu akiwa na mitihani mitatu maana yake Tshs.75,000/= inamuhusu aisee......
alichokisema mwalimi ni kuwa wanafunzi wangu wamefauli kwa maana nliwafundisha vizuri ila uongozi ukatia ngumu na kumsimamisha kazi mwalimu wa watu poleh Mr. Sayi.
Je hii ni sawa kweli wadau ama ni ushamba wangu tuu....

poleni sana aisee, namkumbuka sana jembe basindike sayi na mimi ni moja ya product ya uoa na sijajutia hata kidogo kusoma uoa na kazini nipo competent had baas.
kuhusu hizo supp za lazima hata kustandadize matokeo kilazima wanafunzi wanapofaulu sana zimeanza baada ya huyo mkuu wa chuo (matiku) kuhamia hapo kutoka mzumbe na kulazimisha uoa kiwe kama mzumbe. sasa katifua tifua sera na sheria hasa academically hadi wana uoa wanapata tabu. bora hata alivyokua dr., prof. torres.
 
Cha kuangalia apo ni uwiano wa ufaulu wa somo na masomo mengine..Kama wanafunz masomo mengine wamefaulu kawaida afu somo moja wamefaulu wote apo kuna shida!
 
Mkuu msishangae sana hata ss wana SEKOMU tulifaulu vibaya koz moja ya 2yr tukiingia 3yr mtu umeingia na koz work 48 na pepa umepiga kinona ila unagonga karai majibu eti academic bodi imeyagomea na kupunguza maks mnajua elimu ya juu ni km politics unaweza ckia fulani kadai digrii yak mahakamani c maajabu haya. Dr kadege kapew PhD yk kisutu baada ya ud kumzingua
 
Back
Top Bottom