Chuo Kikuu cha Biashara (CBE) chamtunuku David Kafulila ngao ya heshima kwa kusimamia ukuzwaji wa sera za Uchumi Jumuishi nchini

Hongera sana Kafulila my brother
 
Mwaka huu umekuwa mzuri sana kwako
 
Hongera sana brother, Unastahili zaidi ya hili
 
Hongera sana mkuu
 
Good hii ni ya kiuzalendo zaidi
 
Safi Kafulila Mr two2
 
Safi sana Kafulila Hongera
 
Upigaji
 
Currency yetu imeimarika kimtindo, kajitahidi.
 
Hujui maana ya chuo kikuu?;CBE ni chuo kikuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…