Chuo Kikuu cha Biashara (CBE) chamtunuku David Kafulila ngao ya heshima kwa kusimamia ukuzwaji wa sera za Uchumi Jumuishi nchini

Hongera sana Cde David Kafulila
 
Kwanini isiwe PHD?
 
Hii imekaa vizuri bwana Kafulila
 
Vyuo huwa vinatoa digrii za heshima hayo ya ngao Chuo kutoa ndio nayasikia leo

Ngao mara nyingi hutolewa na machifu kwa mhusika

CBE wameanza kutoa ngao kama chuo?
Mtoa mada kichaa, kwanza cbe hakijawahi kuwa chuo kinachofunza usimamizi wa fedha, hayo ya kusimamia Ankara aende IFM
 
Hivi huyu jamaa anawalipa bei gani nyie chawa wake? Yuko serikalini lakini anaendesha mambo kama mwanasiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ