Chuo Kikuu cha Biashara (CBE) chamtunuku David Kafulila ngao ya heshima kwa kusimamia ukuzwaji wa sera za Uchumi Jumuishi nchini

View attachment 3101816

Chuo kikuu Cha Usimamizi wa Fedha na Biashara Cha CBE nchi Tanzania kimemtunuku Mhe David Kafulila ngao ya heshima kwa uchapakazi wake uliotukuka kwa Taifa.

Mkuu wa Chuo hicho Prof Edna Luoga asema Chuo hicho kimeamua kutoa ngao hiyo ya kutambua juhudi za Kafulila katika kumpata mwekezaji atakayejenga mabweni katika Chuo hicho yatakayoweza kuchukua wanafunzi elfu 12 kwa mara moja kwa sharti la Ubia ili kukabiliana na tatizo la wanafunzi kuishi mbali na eneo la Chuo hicho jambo ambalo hupunguza ari na nguvu za Masomo kwa wanafunzi hao.

David Kafulila ambae ni Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi Tanzania PPP amekuwa akisistiza lazima ifike mahali ambapo Serikali ipunguziwe mzigo katika Utekelezaji wa miradi ya maendeleo hasa miradi yenye sura ya kibiashara ili kuifanya Serikali itekeleze baadhi ya miradi yake ya maendeleo nje ya bajeti yake ( Outside the government balance sheet)
Haya aongeze mbinu na TTCL iende PPP
 
Kafulia anamwaga vipesa vya mshahara kutafuta umaarufu apate vyeo😏😓 wenyeakili washajua haka ka... kanajidai katembo
 
View attachment 3101816

Chuo kikuu Cha Usimamizi wa Fedha na Biashara Cha CBE nchi Tanzania kimemtunuku Mhe David Kafulila ngao ya heshima kwa uchapakazi wake uliotukuka kwa Taifa.

Mkuu wa Chuo hicho Prof Edna Luoga asema Chuo hicho kimeamua kutoa ngao hiyo ya kutambua juhudi za Kafulila katika kumpata mwekezaji atakayejenga mabweni katika Chuo hicho yatakayoweza kuchukua wanafunzi elfu 12 kwa mara moja kwa sharti la Ubia ili kukabiliana na tatizo la wanafunzi kuishi mbali na eneo la Chuo hicho jambo ambalo hupunguza ari na nguvu za Masomo kwa wanafunzi hao.

David Kafulila ambae ni Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi Tanzania PPP amekuwa akisistiza lazima ifike mahali ambapo Serikali ipunguziwe mzigo katika Utekelezaji wa miradi ya maendeleo hasa miradi yenye sura ya kibiashara ili kuifanya Serikali itekeleze baadhi ya miradi yake ya maendeleo nje ya bajeti yake ( Outside the government balance sheet)
Safi Prof Luoga Ms
 
Hongera sana Kafulila
 
Hata Yanga wanayo
.ngao

Nkajua u dk
 
CBE wamejitambua sana
 
Huyu afanye kazi atulie, ngao hizi hazina tofauti na ile Ph.D ya Babu Tale.
 
Hongera PPP
 
Si wangesubiri basi lijengwe hata bweni moja la watu 50 kwanza ndio wampe? Nchi hii ina maigizo mengi sana hasa kunapolekea uchafuzi, tulishagaletewa treni na mwakyembe ya kufikirika ya umeme kwa mbwembwe nyingi kama hizi na ikazama katiba bahari ya sahau kama kawaida! Just too soon kutoa ngao na upinde wkt mabweni bado yapo kwenye makaratasi
 
View attachment 3101816

Chuo kikuu Cha Usimamizi wa Fedha na Biashara Cha CBE nchi Tanzania kimemtunuku Mhe David Kafulila ngao ya heshima kwa uchapakazi wake uliotukuka kwa Taifa.

Mkuu wa Chuo hicho Prof Edna Luoga asema Chuo hicho kimeamua kutoa ngao hiyo ya kutambua juhudi za Kafulila katika kumpata mwekezaji atakayejenga mabweni katika Chuo hicho yatakayoweza kuchukua wanafunzi elfu 12 kwa mara moja kwa sharti la Ubia ili kukabiliana na tatizo la wanafunzi kuishi mbali na eneo la Chuo hicho jambo ambalo hupunguza ari na nguvu za Masomo kwa wanafunzi hao.

David Kafulila ambae ni Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi Tanzania PPP amekuwa akisistiza lazima ifike mahali ambapo Serikali ipunguziwe mzigo katika Utekelezaji wa miradi ya maendeleo hasa miradi yenye sura ya kibiashara ili kuifanya Serikali itekeleze baadhi ya miradi yake ya maendeleo nje ya bajeti yake ( Outside the government balance sheet)
Kafulila anahangaika sana humu JF
 
Stupid thinking kwa Kafulila na Chuo kilichofanya haya. Productivity ya vyuo haipimwi kwa idadi ya wanachuo wanaokaa campus au walio enroll. Bali hupimwa kwa tafiti, machapisho, ushauri wa kutaalamu wanao utoa.

Mambo ya kujenga mabweni siyo core activity ya chuo. Chuo kiandae maprofesa wazuri wenye taaluma, Maktaba za kisasa, Tehama na Lecture halls, wanafunzi watakuja wenyewe kusoma kutoka popote. Masuala ya wanalala wapi yamepitwa na wakati
 
Acha makasiriko, Kazi anazofanya Kafulila zinaacha alama kwa Taifa,

Kuwa mwelewa
 
Alama gani? Kwanza Kafulila siyo Afisa Masuuri (Accounting Officer), anawajibika kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha.

Mbona mnamtukuza huyu tumbili mdogo tu wala hana mamlaka hayo mnayoyasema!!
 
Back
Top Bottom