Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mengine unajiongeza
Ume edit uliandika 12 huna hata haya kukiri kuwa ulikosea kuandika badala ya 12 ni elfu 12
CELEBRATING 40 YEARSSoma tena mkuu
Wewe umeleta bweni la wanafunzi wangapi????,Bweni la wanafunzi 12?
Hilo ndio limemfanya atunikiwe??
13Wewe umeleta bweni la wanafunzi wangapi????,
CELEBRATING 40 YEARS
1983 - 2023
As the College of Business Education (CBE) celebrates 40 years anniversary, we are prestigiously appreciating the extent to which the College has inspired the lives and careers of students and alumni. We are also happy to serve the general public by conducting practical training, applied research activities and consultancy.
Over the 40 years, CBE has registered significant achievements being provision of quality business knowledge and skills to over 50,000 graduates in business related disciplines at various academic levels, that is, from certificates, diploma, bachelor’s and master’s degrees.
During academic year 2022/2023, the College enrolled a total of 16,322 students in its four campuses of Dar es salaam, Dodoma, Mwanza and Mbeya, out of which 3,962 students were enrolled at Dodoma Campus.
Furthermore, the College has improved its learning environment at all its four campuses. Specifically, the College has renovated buildings, revamped drainage systems and has been fixing modern learning facilities in classrooms. This has then contributed to better academic performance.
MOTO : “COOPERATION BETWEEN HIGHER LEARNING INSTITUTES AND THE PRIVATE SECTOR IN SOLVING UNEMPLOYMENT CHALLENGE IN THE COUNTRY”
Cbe zote combined ziko na 16K the ujenge bweni la 12k kwa campus moja?? UnakatwaHistoria nzuri,
Changamoto ilikuwa mabweni
Sawa ndugu, ila CBE sio Chuo Kikuu.View attachment 3101816
Chuo kikuu Cha Usimamizi wa Fedha na Biashara Cha CBE nchi Tanzania kimemtunuku Mhe David Kafulila ngao ya heshima kwa uchapakazi wake uliotukuka kwa Taifa.
Mkuu wa Chuo hicho Prof Edna Luoga asema Chuo hicho kimeamua kutoa ngao hiyo ya kutambua juhudi za Kafulila katika kumpata mwekezaji atakayejenga mabweni katika Chuo hicho yatakayoweza kuchukua wanafunzi elfu 12 kwa mara moja kwa sharti la Ubia ili kukabiliana na tatizo la wanafunzi kuishi mbali na eneo la Chuo hicho jambo ambalo hupunguza ari na nguvu za Masomo kwa wanafunzi hao.
David Kafulila ambae ni Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi Tanzania PPP amekuwa akisistiza lazima ifike mahali ambapo Serikali ipunguziwe mzigo katika Utekelezaji wa miradi ya maendeleo hasa miradi yenye sura ya kibiashara ili kuifanya Serikali itekeleze baadhi ya miradi yake ya maendeleo nje ya bajeti yake ( Outside the government balance sheet)
View attachment 3104529
Kafulila asisitize Serikali iuze Shirika la ndege (ATCL), asisitize wawekezaji binafsi katika umeme kuondoa monopoly ya TANESCO
ChoiceVariable
Wanafunzi alfu 12Bweni la wanafunzi 12?
Hilo ndio limemfanya atunikiwe??
Kwenye hili PPP ipongezwe kwani imefanya jambo kubwa sana kwa Elimu ya Tanzania, Hosteli ya wanafunzi elfu 12 sio habaWanafunzi alfu 12
PointKafulila asisitize Serikali iuze Shirika la ndege (ATCL), asisitize wawekezaji binafsi katika umeme kuondoa monopoly ya TANESCO
ChoiceVariable
Ngoja tusubiri tuone itakavyokuwaKafulila asisitize Serikali iuze Shirika la ndege (ATCL), asisitize wawekezaji binafsi katika umeme kuondoa monopoly ya TANESCO
ChoiceVariable
Mwendo wa PPP ni mzuri sanaView attachment 3101816
Chuo kikuu Cha Usimamizi wa Fedha na Biashara Cha CBE nchi Tanzania kimemtunuku Mhe David Kafulila ngao ya heshima kwa uchapakazi wake uliotukuka kwa Taifa.
Mkuu wa Chuo hicho Prof Edna Luoga asema Chuo hicho kimeamua kutoa ngao hiyo ya kutambua juhudi za Kafulila katika kumpata mwekezaji atakayejenga mabweni katika Chuo hicho yatakayoweza kuchukua wanafunzi elfu 12 kwa mara moja kwa sharti la Ubia ili kukabiliana na tatizo la wanafunzi kuishi mbali na eneo la Chuo hicho jambo ambalo hupunguza ari na nguvu za Masomo kwa wanafunzi hao.
David Kafulila ambae ni Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi Tanzania PPP amekuwa akisistiza lazima ifike mahali ambapo Serikali ipunguziwe mzigo katika Utekelezaji wa miradi ya maendeleo hasa miradi yenye sura ya kibiashara ili kuifanya Serikali itekeleze baadhi ya miradi yake ya maendeleo nje ya bajeti yake ( Outside the government balance sheet)
View attachment 3104529
View attachment 3101816

Hata majengo mengi yaliyojengwa na NSSF na PSSSF ambayo asilimia kubwa haina wapangaji yameacha alama kwa taifa.Acha makasiriko, Kazi anazofanya Kafulila zinaacha alama kwa Taifa,
Kuwa mwelewa
Hongera KafulilaView attachment 3101816