Chuo kikuu cha Dar es Salaam kinakera

10000

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
822
Reaction score
747
Ni jambo la kusikitisha kwa chuo cha taifa na kimataifa udsm-mlimani kushindwa kuweka mazingira rafiki ya kujifunza.

Kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitatu tangu july-october, chuo kimeshindwa kufanya marekebisho ya majengo
matokeo yake, wakati lecture zinaendelea baada ya kufungua chuo hasa kwenye lecture rooms za Yombo4 na Yombo5 kuna mafundi wanaendelea na ujenzi wa kufanyia ukarabati haya majengo

Wanatumia vyombo vyenye makelele kama kupiga nyundo na grill machine ambazo zinaingilia teaching/learning process. Ni kero kwa kweli inaboa sana.

Najiuliza siku zote wakati wa likizo walikua wapi,?

Utawala inabidi wawajibike kwa hili.
 
Sasa wewe SI uwaulize Chuo,utawala kwa nini mnatuaumbua na ukarabati.Sasa hapa JF tukusaidieje!
 
Hicho chuo ujenzi haujawahi kuisha....nasikia hata Nkrumah ile ujenzi haujaisha loh
 

Some people bana sasa sisi hapa JF tufanyeje siuende kwa dean of student umwambia do you think hapa ndo sehem ya kuweka malalamiko yako??
 
nadhani ungepongeza kwamba wanakarabati, hayo ni maudhi madogo madogo kwenye process ya maendeleo na maboresha. husiwe conservative kupitiliza.
 
Yaan first yr hata test moja hujafanya umeshaanza kulalamika hivyo..

Umeona ee..yani kaja juzi tu anaanza kuchooonga...somo la uvumilivu alilojifunza JKT halikumuingia vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…