10000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 822
- 747
Ni jambo la kusikitisha kwa chuo cha taifa na kimataifa udsm-mlimani kushindwa kuweka mazingira rafiki ya kujifunza.
Kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitatu tangu july-october, chuo kimeshindwa kufanya marekebisho ya majengo
matokeo yake, wakati lecture zinaendelea baada ya kufungua chuo hasa kwenye lecture rooms za Yombo4 na Yombo5 kuna mafundi wanaendelea na ujenzi wa kufanyia ukarabati haya majengo
Wanatumia vyombo vyenye makelele kama kupiga nyundo na grill machine ambazo zinaingilia teaching/learning process. Ni kero kwa kweli inaboa sana.
Najiuliza siku zote wakati wa likizo walikua wapi,?
Utawala inabidi wawajibike kwa hili.