Chuo Kikuu cha Egerton chafungwa kutokana na mgomo wa wanafunzi

Chuo Kikuu cha Egerton chafungwa kutokana na mgomo wa wanafunzi

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Chuo Kikuu cha Egerton kimefungwa kwa muda usiojulikana kutokana na wanafunzi wa chuo hicho kufanya mgomo wakishinikiza kuruhusiwa kufanya mitihani yao ya muhula pasipo kukamilisha ada.

Sambamba na hilo, chuo hicho kimetishia kuwasimamisha wanafunzi kwa mwaka mmoja ikiwa hawatokamilisha ada.

Aidha, Mwenyekiti wa wanafunzi ameuomba uongozi wa chuo kuwaruhusu wanafunzi kujisajili ili wapate kadi zinazowawezesha wanafunzi wenzake kufanya mitihani hiyo ya muhula.

Hivyo, kutokana na mgomo wa uliokuwa ukiushinikiza utawala kuwaruhusu kufanya mitihani hiyo iliyotarajiwa kuanza Alhamisi hii, Uongozi katika kikao walichokaa siku ya jumatano uliamua kukifunga chuo hicho mpaka mpaka pale watakapotangaza. Aidha ilani hiyo ilipitishwa na kusainiwa na msajili wa masuala ya kitaaluma Chuoni hapo.

Katika kutekeleza uamuzi huo, wanafunzi wote waliamriwa kuondoka katika mazingira ya chuo kabla ya kufikia mida ya saa 2:30 usiku.

1575514626781.png

Wanajeshi wakiwa wanasimamia zoezi la wanafunzi kuondoka chuoni hapo


ZAIDI SOMA:
Egerton University's main campus was on Wednesday closed indefinitely after students held demonstrations demanding to be allowed to sit for end of semester examinations.

The institution had threatened to defer students for one year, if they did not clear fee balances.

In a circular shared by student council’s chairman Henry Mulyungi, the students demanded the management to allow all students to register for the tests and get exam cards.

“We hereby direct all students to assemble at the student centre at 11 am on December 4 for continuous picketing until students' concerns are addressed,” read the circular that claimed that over 5,000 students would be affected if the exam registration portal is not re-opened.

Early Wednesday, the students converged at the institution’s Student Centre, to hear from their leaders.

But as the students were waiting, police officers arrived at the institution to disperse them.

Police teargassed the students, forcing them out of the institution into Njoro town.

Some students who spoke to the Nation said that part of the exams had been scheduled to kick off on Thursday and that very few students had managed to get exam cards.

Following the incident, the management shut the university.

“Following unrest by students over the demand to be allowed to sit for exams without having cleared fee, Senate at a meeting held on Wednesday resolved to close the university with immediate effect until further notice,” the notice signed by the registrar of Academic Affairs, Mwanarusi Saidi said.

Mr Saidi further said that all students were required to vacate the university by 2.30 pm Wednesday.

SOURCE:The Nation
 
Chuo hakina katiba yake?.kinaendeshwa kama vijiwe vya kahawa.wapambane na hali zao
 
Back
Top Bottom