Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Tatizo nini punguzeni upembea duh kazi kufuatilia maisha ya wenzako hadi lini?
Salaam wana JF,
Ninasikitishwa na hali ilivyo katika Chuo Kikuu Cha Jordan Morogoro.Ifahamike kuwa chuo hiki ni tawi la chuo kikuu cha Mt. Agustino Tanzania(SAUT)na kimeanzishwa mwaka 2010 kwa kozi ya Sanaa na Elimu(BAED)Awali, kilijulikana kama Salvatorian Institute of Philosophy and Theology.Idadi kubwa ya wanafunzi wa kike hususan wale wa mwaka wa pili na wa tatu wanaosoma kitivo cha Elimu wana mimba ambazo inasadikika kuwa wamezipata wakiwa hapo hapo Chuoni.Wakati huo huo kuna idadi kubwa ya wanafunzi ambao tayari wamekwisha jifungua na kulazimika kuhama hostel na kupanga mitaani wakilea watoto wao wakati huo huo wakiendelea na masomo.
Kutokana na hali hiyo,chuo hicho kwa sasa kimegeuka kituo cha kulelea wajawazito badala ya kuwa taasisi ya Elimu ya Juu.
salaam wana jf,
ninasikitishwa na hali ilivyo katika chuo kikuu cha jordan morogoro.ifahamike kuwa chuo hiki ni tawi la chuo kikuu cha mt. Agustino tanzania(saut)na kimeanzishwa mwaka 2010 kwa kozi ya sanaa na elimu(baed)awali, kilijulikana kama salvatorian institute of philosophy and theology.idadi kubwa ya wanafunzi wa kike hususan wale wa mwaka wa pili na wa tatu wanaosoma kitivo cha elimu wana mimba ambazo inasadikika kuwa wamezipata wakiwa hapo hapo chuoni.wakati huo huo kuna idadi kubwa ya wanafunzi ambao tayari wamekwisha jifungua na kulazimika kuhama hostel na kupanga mitaani wakilea watoto wao wakati huo huo wakiendelea na masomo.
Kutokana na hali hiyo,chuo hicho kwa sasa kimegeuka kituo cha kulelea wajawazito badala ya kuwa taasisi ya elimu ya juu.

naishi morogoro ila sijui kuwa kuna chuo kinaitwa Jordan
Sio lazima ujue kwani umeulizwa
hahaaaa...! Uchinichini ndo nini dia?Aliyeleta Uzi huu ana asili ya uchinichini.wanakuhusu nini,wamekuomba Msaada wa kulea mimba au watoto?fanya yako waache na yao
Tanzania mi najua chuo kikuu ni udsm peke yake...................kusoma vyuo kama Jordan ni kuweka future yako rehani