Chuo Kikuu Cha Jordan Morogoro chageuka kituo cha kulelea wajawazito.

Haya bwana ! Ila itakuwa ni huzuni mwisho wa siku baada ya kumaliza chuo kama hao watoto wataenda majumbani bila baba zao
 
Mtu anayeingia Chuo kikuu ni mtu mzima, na wengine wanakuwa ni wake za watu. Sasa kuna shida gani kama mke wa mtu anapata mimba ? Mbona hujasema kwa nini mke wako ana mimba.
 

Duh kweli kaka imekua kama mashindano yani kila wasichana watano watatu wanaujauzito!
 

huji unapresent nini, kwani chuo ndio kinawapa mimba? Kupata mimba na kuzaa ni makosa? Ni sheria ipi inayowazuia kupata mimba na kuzaa wakiwa chuo kikuu? Au unadhani hiyo ni shule ya msingi au sekondari?

Kama una masikio umesikia na kama una macho umesikia
 

huji unapresent nini, kwani chuo ndio kinawapa mimba? Kupata mimba na kuzaa ni makosa? Ni sheria ipi inayowazuia kupata mimba na kuzaa wakiwa chuo kikuu? Au unadhani hiyo ni shule ya msingi au sekondari?
kama una masikio umesikia na kama una macho umesikia
 
huku mtaani vijana wanawatumia kwel kweli isipokuwa kipindi cha boom ndio huadimika.
 
Jordan ni chuo wala sio shule ya msingi au sekondari, chuo wanasoma wenye wake na waume madent wa hapo kuwa na watoto ni maamuzi yao na maisha yao wala hayakuhusu ewe unaowasakama, au la kama unataka nawe beba mimba yako. Tuache tabia ya kuchunguzana mmmmh
 
Aliyeleta Uzi huu ana asili ya uchinichini.wanakuhusu nini,wamekuomba Msaada wa kulea mimba au watoto?fanya yako waache na yao
 

Una matatizo gani? wamekulalamikia kwamba hizo mimba na watoto wao zinawasababisha wasifaulu mitihani yao?? Kama huna kizazi kaa kushoto wenzio wajaze dunia
 

kwa hiyo unataka tuandamane kama Mtwara? Hovyoo!
 
naishi morogoro ila sijui kuwa kuna chuo kinaitwa Jordan
 
Situation is same to almost all universities , sema baadhi ya vyuo kama ifm, cbe n.k maccta- du, huwa wanazichomoa, huku wakijiita mamiss ingawa me nawaona kama midoli tu!
 
Kwani hao si watu wazima? Hata kama wamepata mimba chuoni wewe inakuhusu nini? Unaposema kimegeuka kituo cha kulea wajawazito unamaanisha mafunzo yamesitishwa na sasa kuna wajawazito tu?
 
Tanzania mi najua chuo kikuu ni udsm peke yake...................kusoma vyuo kama Jordan ni kuweka future yako rehani

Acha kuwa na mawazo mgando wewe badilika dunia ya sasa sio hiyo unayoishi wewe! kwa kipi kilichopo pale UDSM hadi udhani kuwa ndio chuo kikuu pekee Tanzania?
 
Duh yaniii....loading......mobile equipment status failed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…