Mtu kama wewe ndo wenye mawazo kuwa nchi haiwezi kwenda bila CCM!!!!pole maana ni msiba kwako..........!si tatizo kuwa na mimba ikiwa tu viwango vyao vya elimu vitaendelea kuwa vizuri,ni watu wazima wenye uwezo wa kufikiri............,kupanga ni kuchagua!!!Tanzania mi najua chuo kikuu ni udsm peke yake...................kusoma vyuo kama Jordan ni kuweka future yako rehani
Kanisa haliruhusu matumizi ya kondomu ndio maana mimba zinakuwa za kumwaga!Si ajabu na wala si kosa kupata mimba,ila mimba zinapokuwa nyingi hapo chuoni kana kwamba kuna mashindano ya kuzaa lazima watu washangae.Hv hawajui matumizi ya condom? Tulieni dawa ikolee!
Duh yaniii....loading......mobile equipment status failed
Salaam wana JF,
Ninasikitishwa na hali ilivyo katika Chuo Kikuu Cha Jordan Morogoro.Ifahamike kuwa chuo hiki ni tawi la chuo kikuu cha Mt. Agustino Tanzania(SAUT)na kimeanzishwa mwaka 2010 kwa kozi ya Sanaa na Elimu(BAED)Awali, kilijulikana kama Salvatorian Institute of Philosophy and Theology.Idadi kubwa ya wanafunzi wa kike hususan wale wa mwaka wa pili na wa tatu wanaosoma kitivo cha Elimu wana mimba ambazo inasadikika kuwa wamezipata wakiwa hapo hapo Chuoni.Wakati huo huo kuna idadi kubwa ya wanafunzi ambao tayari wamekwisha jifungua na kulazimika kuhama hostel na kupanga mitaani wakilea watoto wao wakati huo huo wakiendelea na masomo.
Kutokana na hali hiyo,chuo hicho kwa sasa kimegeuka kituo cha kulelea wajawazito badala ya kuwa taasisi ya Elimu ya Juu.

napita
napita
ndo nyie mnasababisha wa2 wawe wazito.