Chuo Kikuu Cha Jordan Morogoro chageuka kituo cha kulelea wajawazito.


uandishi wako huu mashaka matupuu
 
acheni watu wazae wamechoka na arbortion,si mbaya they are grown as women.
 


Ukweli ni kwamba vijana wengi wanaamini kuwa waschana wanapojiunga na chuo basi uhusiano waweza vunjika muda wowote hivo basi kuhakikisha wanawajaza mimba mapema ili kudhibiti usaliti wa penzi, na ukiwachunguza utabaini wengi wao ni wale wanaosomea kada ya ualimu yaani alimaliza diploma, then sada anajiendeleza huku jukumu la uzazi likiwa katikati ya masomo.

Jambo jingine ni kwamba mandhari ya mji kasoro bahari inaruhusu sana mahusiano kimwili na kufanya wasichana wahamiaji kuhamasika zaidi na kuambulia kubeba mimba.

Mi nadhani tuwapongeze hao ambao wamezaa na wale ambao wamekubali kutunza viumbe tarajali maana kila wkend ukitembelea kadispensary moja hivi mitaa ya Luna basi utajionea pilikapilika za wadada wanaotoka na kuingia kutoa mimba yaani ni hatari balaa.

Ila kikubwa zaidi ni shangwe kwao kugraduate na shahada ya HIV pembeni kwa sababu ya Ngono zembe, chukueni tahadhari.
 
kwani umesikia ni sec school hiyo? hata hivyo wote ni watu wazima wanajua nn wanafanya!
tafuta mmoja nawe ummimbe then mtakua even....hahahahahahahahahaha!
umechemka.....teh teh teh
 
kwani umesikia ni sec school hiyo? Hata hivyo wote ni watu wazima wanajua nn wanafanya!
Tafuta mmoja nawe ummimbe then mtakua even....hahahahahahahahahaha!
Umechemka.....teh teh teh
sikuungi mkono kwa ujinga wako huu
 
Hao ni watu wazima wanaruhusiwa kupata ujauzito sio chekechea au shule ya msingi au ya secondary, una swali la nyongeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…