Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,033
- 723
Wakubwa.
Taarifa za kauminika ni kwamba ule mpango wa kuanzisha chuo kikuu cha Josiah Kibira University College (JoKUCo) uliosuasua kwa miaka kadhaa sasa umetimia.
chuo kitaanza na Education,Sheria na ICT lakini kwa ICT nimedokezwa kuwa wataanza na Diploma sijui ni kwa nini.
Karibuni Bukoba
Historia ya mipango ya awali soma hapa
Byabato
ahksante kwa taarifa yako ila bukoba ,? kitapata watu kweli? bila shaka watafanya application! tu
pole sana! nafikiri wewe ni maskini wa fikra
ahksante kwa taarifa yako ila bukoba ,? kitapata watu kweli? bila shaka watafanya application! tu
Wanafunzi watapatikana,ila wakufunzi nadhani itakuwa challenge!