Chuo kikuu cha Josiah Kibira(Bukoba) kuanza October

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,033
Reaction score
723
Wakubwa.
Taarifa za kauminika ni kwamba ule mpango wa kuanzisha chuo kikuu cha Josiah Kibira University College (JoKUCo) uliosuasua kwa miaka kadhaa sasa umetimia.

chuo kitaanza na Education,Sheria na ICT lakini kwa ICT nimedokezwa kuwa wataanza na Diploma sijui ni kwa nini.

Karibuni Bukoba

Historia ya mipango ya awali soma hapa

Byabato
 
vp mkuu nisaidie website yao.
 
Hiyo ni habari njema kabisa,ahsante sana mkuu
 
Back
Top Bottom