Chuo Kikuu cha Kenyatta kimefungwa kwa muda usiofahamika baada ya wanafunzi kufanya vurugu

Chuo Kikuu cha Kenyatta kimefungwa kwa muda usiofahamika baada ya wanafunzi kufanya vurugu

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
KENYA: Chuo Kikuu cha Kenyatta kimefungwa kwa muda usiofahamika baada ya wanafunzi kufanya vurugu

Walikuwa wakipinga mauji ya mwanafunzi wa kike anayedaiwa kuuawa na madereva wa bodaboda na mwili wake kutupwa barabarani na pia kuzuia kwa uchaguzi wa serikali ya wanafunzi

Wanafunzi hao wameamriwa kuondoka maeneo ya chuo hadi saa tatu asubuhi Ijumaa hii

Siku ya Jumatano, chuo hicho kilitangaza kufuta ratiba za masomo kutokana na mgomo wa wahadhiri unaoendelea

Chanzo: The Star
 
Back
Top Bottom