Paschal Matubi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2008
- 235
- 303
- Thread starter
- #21
Atakuwa ni mkatoliki huyu. Jamaa huwa hawakawii kuwainua watu wao ili mradi unaibusu ile pete ya Askofu wao.
Na wewe kichwa chako kitakuwa kigumu kuelewa. Jamaa wamekumbusha jinsi wakatoliki dunia nzima ilivyopiga kelele Barack Obama kupewa nishani na Chuo Kikuu cha Kikatoliki huko Marekani.
Je, Obama ni mkatoliki?