P Paschal Matubi JF-Expert Member Joined Sep 15, 2008 Posts 235 Reaction score 303 Feb 15, 2010 Thread starter #21 WildCard said: Atakuwa ni mkatoliki huyu. Jamaa huwa hawakawii kuwainua watu wao ili mradi unaibusu ile pete ya Askofu wao. Click to expand... Na wewe kichwa chako kitakuwa kigumu kuelewa. Jamaa wamekumbusha jinsi wakatoliki dunia nzima ilivyopiga kelele Barack Obama kupewa nishani na Chuo Kikuu cha Kikatoliki huko Marekani. Je, Obama ni mkatoliki?
WildCard said: Atakuwa ni mkatoliki huyu. Jamaa huwa hawakawii kuwainua watu wao ili mradi unaibusu ile pete ya Askofu wao. Click to expand... Na wewe kichwa chako kitakuwa kigumu kuelewa. Jamaa wamekumbusha jinsi wakatoliki dunia nzima ilivyopiga kelele Barack Obama kupewa nishani na Chuo Kikuu cha Kikatoliki huko Marekani. Je, Obama ni mkatoliki?