Mdau Makini
Member
- Sep 18, 2012
- 70
- 10
Ukoo main campus au Solomon Mahlangu campus? Kama solomon mbona watu binafsi wamejenga hostel nyingi na nyingine zilikuwa hazina wateja. Vipi zile hostel za kihonda huwa hazina watu na gharama za pango ni ndogo sana.
Utapokeaje elimu wakati mazingira sio rafiki kukuwezesha kupokea hiyo elimu?jukumu la chuo ni kukupa elimu sio malazi....kama vp ingia mtaani....au hama chuo uende kule kwenye hostel kibao kama vile chuo majengo
Kama wakike njoo nikubebe hapa new hostel
Ww umeenda chuoni kulala au kusoma
Mkuu acha nadharia za advance secondary school zakukesha usiku kucha.Lazima kuwapo na malazi mazuri ili upate utulivu wa akili.Haina mantiki ulale kwa kubanana wakati pesa ya malazi umelipia huu ni uzembe wa hali ya juu.Ukilala ovyo ovyo hata darasani utakuwa na usingizi wa kufidia ule usiku uliokosa usingizi.Ww umeenda chuoni kulala au kusoma
Utapokeaje elimu wakati mazingira sio rafiki kukuwezesha kupokea hiyo elimu?