Dancani
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 796
- 403
Kimewezaje ku plan kuchukua wanafunzi wengi kikashindwa ku plan jinsi ya kuwa accomadate?kwa hyo ww unataka chuo kifanyeje wakat hostel hazitosh kama vp hairisha mwaka....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimewezaje ku plan kuchukua wanafunzi wengi kikashindwa ku plan jinsi ya kuwa accomadate?kwa hyo ww unataka chuo kifanyeje wakat hostel hazitosh kama vp hairisha mwaka....
kwenye hizo red naiman hukukusudia kuandika hivyo!!! turudi kwenye mada...ndugu yangu siku hizi hamnaga kupendelewa kama una uwezo ndo unapata na sivinginevyo...wewe unasema wanaume wamependelewa,ulikua unataka sua iwe girls au wangekua ni girls peke yao chuo kisingejaa??? sijaelewa una maanisha nini unaposema chuo kimejaa kwa sababu wavulana wapo wengi(kitu ambacho sikiamini)!!! na kionda imewekwa kwa ajili ya boys tu??babala ya kulala 6 room tunalaa 12 na bado wengi wako mtaani, tatizo mwaka huu boyz wamekuwa fevered sana than girl na ndio maana upungufu unaoneka, miaka ya nyuma ilikuwa vice versa so boyz walikuwa wanajichanganya tu uswazi na kuhonda. leo binti umpeleke kihonda maanake akanunue na baiskel, sasa mambo gani hayo!?