H HACHOKI TALEMWA Member Joined Mar 4, 2013 Posts 93 Reaction score 9 Sep 2, 2013 #1 Kama umechaguliwa kujiunga na SUA ongera sana! b's ni chuo kizuri ila akina mchezo njoo ukiwa umejipanga! kimekaa kiukulima ila mambo yake makubwa!"kula ushibe uwahi mzigoni ukifika utakonda tu kwa msuli, ukija umekonda sjui!" ayo yangu mkubwa!!!
Kama umechaguliwa kujiunga na SUA ongera sana! b's ni chuo kizuri ila akina mchezo njoo ukiwa umejipanga! kimekaa kiukulima ila mambo yake makubwa!"kula ushibe uwahi mzigoni ukifika utakonda tu kwa msuli, ukija umekonda sjui!" ayo yangu mkubwa!!!
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 148 Sep 2, 2013 #2 Ivi wewe ni nwanadhuoni??
Mutwe Member Joined Apr 7, 2012 Posts 25 Reaction score 6 Sep 2, 2013 #3 Tunakuja na tumejipanga kwa lolote.
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 13,942 Reaction score 15,371 Sep 2, 2013 #4 Mutwe said: Tunakuja na tumejipanga kwa lolote. Click to expand... Jibu la mwanaume wa mbasa (shoka) hilo! safi sana dogo tuwakilishe!
Mutwe said: Tunakuja na tumejipanga kwa lolote. Click to expand... Jibu la mwanaume wa mbasa (shoka) hilo! safi sana dogo tuwakilishe!
M Mbwile Classic Member Joined Jul 15, 2013 Posts 30 Reaction score 5 Sep 3, 2013 #5 Hzo ni mbwembwe 2 nani akonde kwa sababu ya mxul uc2tshe bwana
Bw.Daffa JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 420 Reaction score 116 Sep 3, 2013 #6 Mkuu swala la msuli lipo wazi,ila sio mbaya umetoa angalizo!