Chuo kikuu cha SUA

Chuo kikuu cha SUA

Joined
Mar 4, 2013
Posts
93
Reaction score
9
Kama umechaguliwa kujiunga na SUA ongera sana! b's ni chuo kizuri ila akina mchezo njoo ukiwa umejipanga! kimekaa kiukulima ila mambo yake makubwa!"kula ushibe uwahi mzigoni ukifika utakonda tu kwa msuli, ukija umekonda sjui!" ayo yangu mkubwa!!!
 
Mkuu swala la msuli lipo wazi,ila sio mbaya umetoa angalizo!
 
Back
Top Bottom