Chuo Kikuu Cha Tanga ni Vituko!

Chuo Kikuu Cha Tanga ni Vituko!

Inaonekana ni chuo cha ajabu sana maana hata Juzi Mh.Suzane Lyimo aliiponda bungeni,nasikia profesor ni mmoja na Dr mmoja tena wapo kwenye utawala huku chini ni mmhh!!Hivi TCU inatumia criteria zipi kuipa taasisi fulani hadhi ya Chuo Kikuu?
 
Ukijichanga unapigwa pesa watu wanenda tanulia, kinachotakiwa degree, majengo sio issue
 
[h=2]Re: Chuo Kikuu Cha Tanga ni Vituko![/h]
Ukijichanga unapigwa pesa watu wanenda tanulia, kinachotakiwa degree, majengo sio issue​


''If You Are Always Telling The Truth You Need To Remember Nothing''

 
nakwambia kweli bora ya hicho kuliko kile kinachoitwa Agape College mitaa ya Tabata Bima, na kimepewa ithibati ya muda na NACTE, chezea watu na kuanzisha vyuo wewe!
 
Kweli vyuo vingi vipya havijajipanga kabisa mf. Chuo cha Jomo Kenyetta Arusha,bwana wee jengo moja kama hotel vile mbaya zaidi hamna dalili hata za ujenzi wa majengo mengine kwa baadae coz eneo ni dogo sana,MUNGU ibariki elimu tanzania na watu wake.
 
Jamani watu humu mnaniogopesha kabsa. Vipi na kuhusu TEKU? Ndo nimechaguliwa huko. Anayefahamu kitu afunguke basi ili nifahamu mapema.
 
utumbo mwingine wa BABAMWANAASHA.[/QUOTE

kivipi mkuu, wakati izo eckenford zimeanza kabla hata ya mkapa! walikuwa hawazioni hao viongozi wengine! mana hiki chuo kimeanza sasa, je? hizo chekechea mpaka chuo cha ualimu si vilikuwepo tangu tawala zilizopita na zilikuwa zinavurunda tu, zilikuwa ni wakati wa mdingi wake mwanaasha.
 
Tunapaswa kuwapongeza WaTZ wenzetu wanaothubutu, tuache kukalia kuponda tu. Kwa ninavyofahamu background ya Eckeneford, huyu mmiliki anastahili pongezi kwa hapo alipofikia.
 
haya wakuu ilimradi lisonge...majengo sifuri,,walimu zero..tcu wamekaa tuu kama hawaoni,,,,, ni hayo tu..mi napita!
 
haya wakuu ilimradi lisonge...majengo sifuri,,walimu zero..tcu wamekaa tuu kama hawaoni,,,,, ni hayo tu..mi napita!

si wamekaa tu kama hawaoni ni wamelala fofofo na hawaon kabisa usingizi ukipungua watashtuka
 
tanzania tutaua elimu manake wenye mamlaka ya kukagua vyuo wanaruhusu vyuo ambavyo havina hadhi ndo kama hiki cha tanga oooh buriani euckenford!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom