Chuo Kikuu cha Utumishi wa Umma Kampasi ya Chato kipo eneo gani huko wilaya ya Chato?

Chuo Kikuu cha Utumishi wa Umma Kampasi ya Chato kipo eneo gani huko wilaya ya Chato?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Mwenye uelewa kilipo chuo tajwa hapo juu tafadhali .

Pia mwenye kufahamu aina ya kozi zitolewazo na chuo hicho na gharama za masomo.

Niwatakie Xmas Njema
 
Sasa hivi kinaweza kujengwa Makunduchi, maana Tanzania Rais ana absolute power.
 
Back
Top Bottom