FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Sasa liuzwe gongo Vatikano utasema anaeuza Mkatoliki siyo ukatoliki? Fikiri. Hata Gongo likiuzwa msikitini itakuwa Uislam ndio unaouza hilo gongo. Lakini kule kwa mama haambiliki muuza gongo, atabaki kuwa huyo mama ndiye muuza gongo, siyo dini yake.Una kitu kinakusumbua kinaitwa hypocrisy, nyuzi zako nyingi unasema ukatitoliki NDio mapadre wanaonajisi watoto , ila apa unatenganisha Uislamu na muuza gongo muislamu
MUM siyo chuo cha Kiislaam ni Chuo ca Waislam.
Nyerere alichapa viboko wanafunzi wa UDSM, tuseme Ukristo ndiyo ulichapa hivyo viboko? Fikiri japo kiduchu, usibishe ili kubisha tu.