Sasa liuzwe gongo Vatikano utasema anaeuza Mkatoliki siyo ukatoliki? Fikiri. Hata Gongo likiuzwa msikitini itakuwa Uislam ndio unaouza hilo gongo. Lakini kule kwa mama haambiliki muuza gongo, atabaki kuwa huyo mama ndiye muuza gongo, siyo dini yake.Una kitu kinakusumbua kinaitwa hypocrisy, nyuzi zako nyingi unasema ukatitoliki NDio mapadre wanaonajisi watoto , ila apa unatenganisha Uislamu na muuza gongo muislamu
Sheikh ashakua wako tena? astaghfirullahBakora swafi sana sheikh wangu!!!
Wacharaze ili so that they can be in order
Sheikh anatoa dozi muhimu ni mwenzangu katika malezi hakika swadaktaSheikh ashakua wako tena? astaghfirullah
Acheni kukariri mambo magumu magumuaaamyn, mkuu nimegundua tosha yetu na mfariji mkuu ni allah pekee huu uzi hata mimi umenionesha makubwa mno niliyokuwa siyajui, kweli waliyoyaficha kwenye nyoyo zao ni makubwa mno..
kwani tunashea vichwa mkuu Memento sisi tunahifadhi hatukariri..Acheni kukariri mambo magumu magumu
Kama maeneo anayotoka gaidi mbowe?Nchi ina sheria, wao wanataka kutuletea shariia zinazotumika maeneo yaliyotawaliwa na magaidi
Kiukweli ni miongoni mwa taarifa tata lakini BINAFSI ilinibidi kwenda mbali kidogo kutaka kujua ukweli wa TUKIO na chanzo CHAKE. Nilichokuja kubaini ilikuwa ni mzaha baina ya WANAFUNZI na mwalimu HUSIKA hakuna aliyechapya na Wala hakuna kuchapana chuoni hapo. Viongizi wa serikali ya WANAFUNZI pia walikuja kukanusha kuwepo kwa TUKIO hilo na kueleza kuwa mwisho mwa uchunguzi wao walibaini nilichokieleza hapo juu. Nilizungumza na wadau kadhaa hata kiasi cha kudhihirishiwa kupitia WANAFUNZI HUSIKA nao walisema kuwa ulikuwa ni mzaha na haijawahi kutokea mwanafunzi akachapwa chuoni hapo. TUKO PAMOJA WATANZANIA KATIKA KUOJENGA NCHI YETU. TUKEMEE MAOVU NA TUSIFU MEMAMambo yao waachie wenyewe
Allah kashasema kwenye Qur'an,wanayoyaficha kwenye nyoyo zao ni makubwa zaidi kuliko hayo wanayoyasema.Hivyo hakuna jipya hapo,na chuki yao dhidi ya uislamu ni kubwa mno kuliko unavyofikiria.Hii taarifa yenyewe inaonekana haijathibishwa( inafanyiwa uchunguzi), na hata haionyeshi ilitokea lini.
Lakini pamoja na hivyo watu wamesharukia katika conclusion na mapovu yanawatoka kuonyesha ni kiasi gani wamejawa na chuki.
Lakini hata kama ni habari ya kweli, inaonyesha ni tukio la mara moja ambalo hata hatufahamu chanzo chake.
Ila pamoja na hivyo watu wameshafika mbaali kuutukana uislamu na kuwatoa akili waislamu kwa kosa la mtu mmoja.
Kwani hiyo serikali ya hao wanafunzi, inayokemea hilo tukio ni ya wakristo?
Tafuteni sababu za msingi(za kushambulia uislamu) lakini sio visingizio kama hivi.
Akikujibu nitag please!Mara ngapi Papa kaomba radhi kwa mapadri kufila watoto!!?
Umesema kweli ummumuhammad.Allah kashasema kwenye Qur'an,wanayoyaficha kwenye nyoyo zao ni makubwa zaidi kuliko hayo wanayoyasema.Hivyo hakuna jipya hapo,na chuki yao dhidi ya uislamu ni kubwa mno kuliko unavyofikiria.
Nakumbuka hii ilitokea Kagera, alielambisha walimu viboko alisha ingia kwenye siasa, kwa sasa ni mtu Mkubwa sana nchi hii, msafara wake unasimamiwa na ving'ora vya polisi.Kijana wangu anavyopenda ngumi! Nafikiri video clip ingekuwa na heading tofauti, mhadhiri achezea vitasa tokea Kwa mwanachuo!
Ingekuwa tuko polisi tukihangaikia dhamana!
Haina tofauti na Ile kesi ya afisa elimu kata sijui tarafa kuchapa walimu viboko! Kwa kuchelewa darasani
YesKumbe ndio ilikuwa hivyo! Shukran kwa ufafanuzi.
Elimu kubwa pale ni brain washing, uwezo wa kufikiri unagandamizwa sana.Hao wanafunzi nao vilaza tu..yani mwanafunzi wa chuo unalalaje chini uchapwe viboko..haki angejua hajui.
#MaendeleoHayanaChama
Badala ya kunifanya mimi nionekane mbaya, wewe ndio unaonekana moumbavu na mpuuzi wa kutwa nimeandika maneno machache ila umeshuka gazeti[emoji2]Ni kutowe kwenye reli ipi wewe poyoyo? Nyie ndiyo mnazua uongo, vipi ukiite chuo cha "Kiislaam" wakati siyo chuo cha Kiislaam? Mna maana gani mnapozua kwenye jibicwa lenu la habari?
Au ni wajinga kiasi hamuelewi maana ya Waislam na Kiislam?
Au mnajazana cuki za kijinga kwa "Uislam in general", mimi nawauliza, Uislam umewakosea nini au umegundisha kipi kibaya hata muwe na chuki za kijinga namna hiyo? Au ni mashetani tu, maana hakuna binadam anaeweza kujitungia chuki tu isipokuwa ana ushetani wa hali ya juu kichwani mwake.