Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro chatuhumiwa kutoa adhabu ya viboko kwa wanachuo

Mpaka chuo mnapigwa viboko [emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha ya wanafunzi wa tz hayajawahi kuwa rahis..wanakula mboko za mana halafu wakiingia kitaa waambiwa ajiajiri.

#MaendeleoHayanaChama
 
Inasikitisha sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mbaya zaidi wanafundisha mafunzo hayo kwa vitoto vidogo...wana vi brainwash hatari.

Dini/iman ni ugonjwa mbaya sana wa akili kuwahi kuikumba dunia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuchapa viboko wanafunzi wa rika hlil ni upumbavu; inatokana na mtu kukosa hekima ya malezi kwa watoto!
 
Jiulize mwenyewe, unakariri Quran mwisho wa siku unapata faida gani zaidi ya kufuga majini na kuwa mnafiki?
ni jambo la aibu sana kukaririshwa mentality fulani ya uongo kama kuambiwa rocket 🚀 zinatua misri na SA pekee na zinaacha moshi angani halafu unazeeka nayo, majini!?.
 
Tukiweka kando hayo mambo ya chuki za kidini ambazo ni sahihi kabisa kuzikemea ila kwenye hii video huyu Ostaz ningemvunja mfupa wa pua kabla hajainua hiyo fimbo.
 
Kwani utovu wa nidhamu tunauoana kwa watoto wa vyuo vya ifm,cbe,udom na zile connection zao za uchi uchi.

Hawa watoto wanastahili viboko
Vipi kwani Mchepuo wako anasemaje kwa hili ndugu yangu? Kwani nasema uongo.
 
Utofauti huletwa kwa kupika wataalamu na sio mavazi wanayozaa, acheni uzwazwa. Hiko chuo ndio maana kila siku Cha mwisho, Hakuna mwenye akili aliyefaulu vizuri atasoma hapo
Umemaliza kazi. Vyuo vya kipuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…