Edwin hebu fanya utafiti kidooogo kisha urudi ujitathmini. Toka lini Mfinanga akawa member wa BICO? Hivi kweli mwenyekiti wa kamati ya nidhamu ni dvc admin na siyo mama mtanda? Timiza wajibu wako, epuka mambo ya ajabu kazini, fuata sheria, miongozo, taratibu na maadili ya kazi