Chuo kikuu Huria au Chuo cha Serikali

Chuo kikuu Huria au Chuo cha Serikali

Mildred

Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
91
Reaction score
16
Habari,

kuhusiana na topic hapo juu nataka ku apply moja kati ya hivyo vyuo, open university au goverment university. naomba mchango wenu ipi ni nzuri zaidi au rahisi kupata kazi baada ya kuhitimu chuo?
 
hujaeleweka maana open nayo ni mali ya government.

sema open unasoma na huku unaendelea na kazi kama unafanya kazi tofauti na vyuo vingine ni lazima uwepo pale na uingie darasani. so uamuzi ni wako hapo
 
duuu utirir huu wa vyuo usisome open mkuu

Kwani kuna nini OUT? Ni chuo kikubwa sana, kikongwe, cha serikali na chenye wahadhiri wengi sana tena wenye sifa stahiki. Kwa ubora na wahadhiri unaweza compare it with UDSM, SUA na kidogo Mzumbe na Ardhi. Nakushauri kama ni kusoma, basi utafute chuo cha serikali kwasababu ni ukweli usiopingika kuwa kwa Tanzania hii, vyuo vya SERIKALI viko vizuri sana kuliko vyuo vya PRIVATE. Ahsante
 
Ukiwa na Division two yako na ukahisi ukiwa OPEN utajishushia hadhi ni unajidanganya. Mpaka wenye ONE ZOTE MBILI wapo pale Kama wanafunzi.
Kama unabisha sema nikukopeshe 50,000 uweke Dau.
 
Bado unaweza kuajiriwa tuu ndugu? Kwa degree ya kwanza ningekushauri nenda kasome chuo ambacho utaingia class maana kwa open unatakiwa uzooe aina ya usomaji wake ni vizuri kusoma kuanzia masters
 
OUT tanzania ni kati ya vyuo vitano bora kabisa tanzania...kipo katika ubora wake kabisa
 
Bado unaweza kuajiriwa tuu ndugu? Kwa degree ya kwanza ningekushauri nenda kasome chuo ambacho utaingia class maana kwa open unatakiwa uzooe aina ya usomaji wake ni vizuri kusoma kuanzia masters

ushauri mzuri
 
Watu wana NOTION Mbaya sana juu ya OUT,Wanadhani kuwa wakikaa CUMPUS ndiyo kupata elimu bora.OUT siku hizi ni chuo cha kisasa sana,watu toka ujerumani,msumbiji,rwanda nk wako OUT.Sisi wenyewe wabongo tunaona kama ile ni TUITION centre hivi.Kiukweli ;
1.Out ni chuo kizuri na kimeboreshwa sana tofauti na miaka ya nyuma
2.Wahadhiri wake ni mahili sana
3.Kulingana na speed yako,unaweza kumaliza kozi kwa muda mfupi uwezavyo, mfano,nina ushahidi kuna mtu alimaliza masters kwa mwaka 1,na mwingine alimaliza postgr.Dip. kwa miezi 6.
4.OUTmwanafunzi anakuwa anauelewa mpana sana kwani hategemei VIDESA,anakamua vitabu zaidi tena vingi
5.Kwa watumishi walioko makazi na kusoma OUT wanapata promotion kirahisi kwa uzoefu wangu niliouna,
6.Out wana kozi nyingi na nzuri ambazo vyuo vilivyo vingi havitoi( cheki prospectus yao)
8.Gharama zao ni nafuu sana,
9.Unasoma huku unaendelea na madili yako
10.OUT ina scholarship za kwenda nje kwa masomo ya sayansi
11.Out ina maktaba,computer lab,kumbi za kusomea nk
12.Mimi ni miongoni mwa wanafunzi wa out(MASTERS),underg.nilisoma UDSM,HAKIKA, Naipenda Out.
13.OUT ni chuo cha serikali pia
 
Nakuunga mkono Mkuu kwa 100%
 
Back
Top Bottom