KERO Chuo Kikuu Huria kina tatizo sugu ya kutopeleka taarifa NACTVET

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

kessy01

New Member
Joined
Jan 9, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Chuo Kukuu Huria kimekuwa na tatizo sugu la kutopeleka taarifa NACTVET, watu wanamaliza masomo lakini wengine huwachukua mpaka miaka mitatu ndio taarifa zinatumwa NACTVET, na hapo mpaka uwe unafatilia.

Kama siyo mfuatiliaji inakula kwako.

Je, umeshawai kukutana na hii changamoto, embu tueleze ulitatuaje.
 
Sasa mpaka chuo kama hiki kinachosimamia asilimia kubwa ya viongozi bado kina fanya haya mambo unadhani wako serious na elimu. Hawa ndiyo walitakiwa wawe mfano, ila wanachojua na kuomba hela wanafunzi tu
 
Chuo Kukuu Huria kimekuwa na tatizo sugu la kutopeleka taarifa NACTVET, watu wanamaliza masomo lakini wengine huwachukua mpaka miaka mitatu ndio taarifa zinatumwa NACTVET, na hapo mpaka uwe unafatilia.

Kama siyo mfuatiliaji inakula kwako.

Je, umeshawai kukutana na hii changamoto, embu tueleze ulitatuaje.
OK POA
 
Back
Top Bottom