N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,308
- 12,812
Ukifika hapo Open University Kinondoni Center Biafra Vyoo ni vichafu sana vimejaa vimeziba na majengo yake chakavu sana, mpaka unajiuliza hivi hapa kuna wasomi kweli??!! Hebu rekebisheni basi hivyo vyoo mnahatarisha afya za wanafunzi.
Afisa Afya Manispaa ya Kinondoni fika hapo ukakague hivyo vyoo ni vichafu sana. Vyoo vingine ni vichafu sana ni pale soko la SIMU 2000 pachafu sana na watu wanalipa.
Afisa Afya Manispaa ya Kinondoni fika hapo ukakague hivyo vyoo ni vichafu sana. Vyoo vingine ni vichafu sana ni pale soko la SIMU 2000 pachafu sana na watu wanalipa.