A
Anonymous
Guest
Nilikuwa natoelezea moja ya tatizo lililokuwepo pale OPEN university , supervisors wengi wa pale wana utaratibu mbovu katika kusimamia research kwa mwanafunzi.
1. Kama uko mkoani ndiyo utapata shida zaidi, kwasababu simu hawapokei na emails hawajibu.Njia mzuri ni kuwategea ofisini kwao mida ya asubuhi.
2. Masupervisor wanakuwa active kile kipindi kinachokaribia mwisho wa mwaka tu ila usitegemea unaweza kuwasiliana naye kipindi kingine chochote.
Mi nimemaliza research yangu level ya undergraduate kwa miaka 3 baada ya kusmbuana sana mpaka kubadilisha supervisor pamoja na kituo (hospitali) niliyopanga kufanyia research yangu.
Naongea haya kwasababu naona kuna umuhimu ya kufanyiwa kazi, nawaza itakuwaje kama nitarudi kufunya Masters pale pia itakuwa ngumu zaidi na inaweza kuchukua miaka mingi zaidi.
Ni hayo tu wajirekebishe