DOKEZO Chuo Kikuu Huria (OPEN university) wanachelewesha suala la research, unaweza fanya hata miaka 4

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Nilikuwa natoelezea moja ya tatizo lililokuwepo pale OPEN university , supervisors wengi wa pale wana utaratibu mbovu katika kusimamia research kwa mwanafunzi.

1. Kama uko mkoani ndiyo utapata shida zaidi, kwasababu simu hawapokei na emails hawajibu.Njia mzuri ni kuwategea ofisini kwao mida ya asubuhi.

2. Masupervisor wanakuwa active kile kipindi kinachokaribia mwisho wa mwaka tu ila usitegemea unaweza kuwasiliana naye kipindi kingine chochote.

Mi nimemaliza research yangu level ya undergraduate kwa miaka 3 baada ya kusmbuana sana mpaka kubadilisha supervisor pamoja na kituo (hospitali) niliyopanga kufanyia research yangu.

Naongea haya kwasababu naona kuna umuhimu ya kufanyiwa kazi, nawaza itakuwaje kama nitarudi kufunya Masters pale pia itakuwa ngumu zaidi na inaweza kuchukua miaka mingi zaidi.

Ni hayo tu wajirekebishe
 
Ni kweli OUT Research inachukua muda, hasa Postgraduate. Baadhi ya Supervisors wasumbufu

Japo hili ni tatizo la vyuo vikuu vingi vya serikali.
 
Nilikuwa natoelezea moja ya tatizo lililokuwepo pale OPEN university , supervisors wengi wa pale wana utaratibu mbovu katika kusimamia research kwa mwanafunzi.

1. Kama uko mkoani ndiyo utapata shida zaidi, kwasababu simu hawapokei na emails hawajibu.Njia mzuri ni kuwategea ofisini kwao mida ya asubuhi.

2. Masupervisor wanakuwa active kile kipindi kinachokaribia mwisho wa mwaka tu ila usitegemea unaweza kuwasiliana naye kipindi kingine chochote.

Mi nimemaliza research yangu level ya undergraduate kwa miaka 3 baada ya kusmbuana sana mpaka kubadilisha supervisor pamoja na kituo (hospitali) niliyopanga kufanyia research yangu.

Naongea haya kwasababu naona kuna umuhimu ya kufanyiwa kazi, nawaza itakuwaje kama nitarudi kufunya Masters pale pia itakuwa ngumu zaidi na inaweza kuchukua miaka mingi zaidi.

Ni hayo tu wajirekebishe
Mbona mm yangu ya llb sikupata usumbufu.
 
Kama UDSM tu
 
Back
Top Bottom