Majani yameota hovyo hovyo.... mazingira mabovu hayavutii wala hamna hadhi ya 'Chuo Kikuu'.
Wakati wa mvua ndio huwa pabovu zaidi kwasababu eneo lenyewe lipo ziwani.
Pia sehem za kusomea /kufanyia discussion hamna. Ifike mahali waweke vimbweta hata vitatu tu.
Wahusika jitahidini kuweka mazingira ya chuo yawe na hadhi ya chuo na mandhari ya kuvutia.
Pia soma
~ Uongozi wa Chuo Kikuu Huria wasema utaboresha mazingira ya Kampasi ya Singida
~ Chuo Kikuu Huria Tanzania lipeni Waajiriwa wenu pesa zao za kujikimu, mtawaua njaa na kuwafedhehesha mtaani