Chuo kikuu josiah kibira bukoba na mazingira magumu

Chuo kikuu josiah kibira bukoba na mazingira magumu

msomaji J

Member
Joined
May 10, 2014
Posts
15
Reaction score
0
Tcu tunaomba mtusaidie maana hapa tunapata hali ngumu ya kitaluma,no quality of library na mengineyo mengi
 
Usaidiwe nini? Taarifa yako haijakamilika kueleza tatizo la chuo, then unaongea nusu taarifa kuhusu migomo....sijui mnagomea nini...
Toa taarifa kamili.
 
NI chuo kikuu ambacho kipo bukoba tawi la makumira (TUMA) ni chuo kinachoogozwa kibabe,kikabila,pesa ya wanafunzi toka bodi kufanyiwa miradi na wakubwa(utawala) na hali ikiwa ni mbaya kwa wanachuo kwa kweli yapo mengi ambayo yanaskitisha tunaomba TCU kuja kujionea hali halisi ya maisha tunayoishi watanzania kwani mpaka sasa tunahisi tupo uganda na sio tanzania nawasilisha.
 
Uzembe wako wa kusoma ndo umekupeleka uko,,tuliokua tunajituma tuko udsm maisha safi2
 
kijonga jamani hata tafsida huna. kweli cream wapo udsm lakini huo ukweli ni mchungu kumeza...waonee huruma wenzio japo pass zao ni ddd, dde, dee , des.
 
Futa kauli,kupangiwa dsm hakumaanishi kuwa mtu fulani anaakili sana.chukulia aliyemaliza form four mwenye division III-25 Then form six akapata I-7 au form 4 kapiga freshe afu form 6 kashuka.
 
UISO ndo lecturer anayekubalika. Tofauti na wengine wanaowafanyia unyama wanafunzi kwa kuwafelisha.Mungu ambariki
 
Uzembe wako wa kusoma ndo umekupeleka uko,,tuliokua tunajituma tuko udsm maisha safi2

kweli nchi hii inahitaji ukombozi wa kifikra, kama wewe nae ni msomi tena unajiita uko Udsm. Hujui wanaosumbua taifa hili wote wamesoma udsm na abroad? Vibaka, mawaziri mizigo wa Kinana wote ni product ya Udsm. Kuna haja ya kuandika Kitabu kiitwacho "How Udsm under developed Tanzania". Ubora wa chuo ni ufanisi wa products zake, Ndio maana Yanga na Simba zime salimu amri kwa Azam licha ya kwamba ni timu kongwe ubora 0. UDSM ni kama Yanga na simba kinajitapa tu kwa ukongwe lakini Quality of Education imeshuka tena sana. Hapa nilipo shuleni tunafanya kazi na products za Udsm wengi ni wa kawaida sana ki ufanisi bora na Udom wako vizuri.
 
Back
Top Bottom