inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Siyo halali,hapo unamchelewesha mtu kumaliza chuo na anaweza asimalize kabisaAngekua anadaiwa ada ni sawa lkn ada ya kozi nzima kaishalipa yote. Anachodaiwa ni hela za supp. Je ni halali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo halali,hapo unamchelewesha mtu kumaliza chuo na anaweza asimalize kabisaAngekua anadaiwa ada ni sawa lkn ada ya kozi nzima kaishalipa yote. Anachodaiwa ni hela za supp. Je ni halali?
Kalipa ada yote hadaiwi. Anacho daiwa ni hela za supp, je ni halali?Sasa kama kweli unadaiwa si ulipe yaani unampangia anayekudai ulipe lini, yaani umalize chuo ndo uje uchukue cheti na ukifa je.Lipeni hela za watu , elimu ni gharama
Ungejua jinsi watoto wa masikini wanavyosoma wala usingesema hivyo. Hii supp hakuipata kwa kufeli bali hakumaliza ada ktk semester 2 hivyo akazuiwa kufanya mitihani hiyo ambayo anaambiwa ailipie ili sasa aifanye je ni halali?Unapataje sup chuo cha mtaa kama hicho, ambacho lengo mama ni kutafuta ada na michango ili kijiendeshe?.
Ungesoma UDSM, UDOM, SUA au MZUMBE unge-disco semister ya kwanza tu.
Acheni anasa zisizo na msingi, someni kwa bidii hayo mengine unajikuta umeyaepuka kirahisi.
Kampala kazeni hivyo hivyo, mliwekeza ili mpate faida na siyo kutoa msaada au kuonea huruma vijana wasiopenda kujituma
Huyu hadaiwi ada b ada kaishalipa ila anachodaiwa ni hela ya supp. Na supp zenyewe sio kua alifeli bali walimzuia sababu alichelewa kuwalipa hela za mtihani wa pili,ambazo baadae alizilipa. Sasa kwanini wamdai tena? Eti kisa sababu wanatunga upya mitihani hiyo.Unapataje sup chuo cha mtaa kama hicho, ambacho lengo mama ni kutafuta ada na michango ili kijiendeshe?.
Ungesoma UDSM, UDOM, SUA au MZUMBE unge-disco semister ya kwanza tu.
Acheni anasa zisizo na msingi, someni kwa bidii hayo mengine unajikuta umeyaepuka kirahisi.
Kampala kazeni hivyo hivyo, mliwekeza ili mpate faida na siyo kutoa msaada au kuonea huruma vijana wasiopenda kujituma
Chuo kipo gongolamboto ni tawi la chuo cha kampala (KIU) Kilichopo kampala ugandaHicho chuo kiko wapi na kinamilikiwa na nani?