Chuo Kikuu Kampala kinawatesa Watanzania

Angekua anadaiwa ada ni sawa lkn ada ya kozi nzima kaishalipa yote. Anachodaiwa ni hela za supp. Je ni halali?
Siyo halali,hapo unamchelewesha mtu kumaliza chuo na anaweza asimalize kabisa
 
Reactions: bne
Sasa kama kweli unadaiwa si ulipe yaani unampangia anayekudai ulipe lini, yaani umalize chuo ndo uje uchukue cheti na ukifa je.Lipeni hela za watu , elimu ni gharama
Kalipa ada yote hadaiwi. Anacho daiwa ni hela za supp, je ni halali?
 
Ungejua jinsi watoto wa masikini wanavyosoma wala usingesema hivyo. Hii supp hakuipata kwa kufeli bali hakumaliza ada ktk semester 2 hivyo akazuiwa kufanya mitihani hiyo ambayo anaambiwa ailipie ili sasa aifanye je ni halali?
 
Huyu hadaiwi ada b ada kaishalipa ila anachodaiwa ni hela ya supp. Na supp zenyewe sio kua alifeli bali walimzuia sababu alichelewa kuwalipa hela za mtihani wa pili,ambazo baadae alizilipa. Sasa kwanini wamdai tena? Eti kisa sababu wanatunga upya mitihani hiyo.
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…