Mnyisunura
Member
- Aug 3, 2008
- 69
- 7
Jamani hivi Mwalimu alipopokea nchi mwaka ule wa uhuru alikuwa na walimu (Profs and Drs) wangapi?? wahandisi?? madaktari?? na kadhalika!! sasa sisi badala ya kujipanga na kutafta namna ya kujiendeleza na kupata a "breakthrough" tunabaki kusema walimu wa vyuo vya dar wawe wanafundisha kwenye vyuo vipya..... ile kitu inaitwa uwiano wa mwalimu kwa wanafunzi nayo tunaiangalia au??
jamani, inabidi tuache kufikiria kutokana na vile tulivyovikuta na kuviona, inabidi tuanze kutumia vipaji vyetu kutafta "any other means necessary" kujiletea maendeleo....
Nchi hii huwa hawafikirii suala la walimu kila wanapoanzisha taasisi. Just imagine shule za sekondary. Anyway unaweza kusema inachukua miaka miwili kumpata mwalimu wa shule za secondary toka alipojiunga chuo cha ualim.
Lakini hii ya kuanzisha vyuo bila ya kuwa na walimu ndo utakuta TAs wanafundisha which to me ni kama kudhalilisha. Tabia hii ipo hata pale Udsma na sijui vyuo vingine ila ukweli ni kuwa ni vyema waalimu wakaandaliwa kuliko kukurupuka kuanzisha vyuo.
Otherwise ndo tunapata product ambazo zimecremishwa na hawajui hata la kufanya. Kumtrain mwalimu wa chuo ni very demanding na kama watu hawatakuwa making hii itatufanya tuwe na vyuo visivyo na walimu ambayo ni mbaya zaidi