chuo kikuu kipya cha kilimo cha katavi

chuo kikuu kipya cha kilimo cha katavi

malema 1989

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
1,319
Reaction score
520
kwa wenye taarifa au habari yoyote kuhusu chuo hiki kilichopewa sana kipaumbele na waziri mkuu m.k pinda please naomba anijulishe.Nasikia kipo mkoa mpya wa katavi.
 
Duuh mpaka "Mzee wa kulia/machozi" amalize madaraka atakuwa kafungua SUPERMARKET Katavi maana alianza na Mkoa Mpya wa Katavi, sasa Chuo Kikuu Katavi, uwanja wa Ndege, Lami mpaka Sumbawanga bado SUPERMARKET sasa. Hivi ananikumbusha Mzee Msuya enzi zake akiwa Kiranja Mkuu hakupasahau home. Hongera Baba
 
Back
Top Bottom