Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh! Kwahyo hiyo GPA ya 3 hakuna wanaozipata au? Kwa mtazamo wako wewe ungependa waangalie vigezo gani? Hiyo kwenye mabano unataka kuendeleza haya haya yanayopigiwa kelele kila siku? Maana nyie ndio viongozi wa kesho kwahiyo mnahitaji mfumo wa kuongozwa na vilaza(samahani kwa kutumia neno kali) uendelee?[*]INATAKA WATU WAGOMBEE UONGOZI WENYE GPA FROM 3 AND ABOVE(Je ni viongozi gani na wangapi wa nchi hii wenye hata degree) kama ndo hivyo kuwa rais tu uwe na GPA hiyo basi ngazi kama za wabunge na mawaziri wawe na phD and others prof kabisa.
[/LIST]
Ni sawa, kwani kama GPA ni chini ya 3 ukiwa kiongozi maana yake utafeli[/QU
Cjui umesoma course gani mkuu(kama umefika chuo kikuu), nimesoma MD muhimbili university, darasa letu la mwaka wa3 wa kwanza alipata gpa ya 3!wa pili ya 2.8! so' suala la gpa kuwa kigezo linaweza licikufikirishe sana ww na watu wengine kutokana na nature ya vyuo na course mlizosomea but kwa chuo kama muhimbili kuweka gpa ya 3 kama kigezo ni UNYANYASAJI WA MAKSUDI!
kwanza kuweka gpa kama kigezo ni kinyume na katiba ya nchi, inayopinga ubaguzi wa aina yeyote ile!
duh! Kwahyo hiyo GPA ya 3 hakuna wanaozipata au? Kwa mtazamo wako wewe ungependa waangalie vigezo gani? Hiyo kwenye mabano unataka kuendeleza haya haya yanayopigiwa kelele kila siku? Maana nyie ndio viongozi wa kesho kwahiyo mnahitaji mfumo wa kuongozwa na vilaza(samahani kwa kutumia neno kali) uendelee?
umeeleweka na ndio maana nikauliza kwa mtazamo wako ungependa vigezo viwe vipi? Kwasababu unapopinga jambo hupingi tu ili mradi uonekane mbishi. lazima uwe njia mbadala. Useme badala ya kuwa hivi ingebidi iwe hivi. Kulalamika bila kusema mnatakaje hata wanaolalamikiwa wanashangaa.Cjui umesoma course gani mkuu(kama umefika chuo kikuu), nimesoma MD muhimbili university, darasa letu la mwaka wa3 wa kwanza alipata gpa ya 3!wa pili ya 2.8! so' suala la gpa kuwa kigezo linaweza licikufikirishe sana ww na watu wengine kutokana na nature ya vyuo na course mlizosomea but kwa chuo kama muhimbili kuweka gpa ya 3 kama kigezo ni UNYANYASAJI WA MAKSUDI! kwanza kuweka gpa kama kigezo ni kinyume na katiba ya nchi, inayopinga ubaguzi wa aina yeyote ile
Mimi nilidhani tuwapongeze uongozi wa chuo....isitoshe mnasomea UTABIBU.....A VERY SERIOUS PROFFESSION WHICH NEEDS SERIOUS PEOPLE.....ni sawa na wale wanafunzi wa chuo kikuu cha mlimani waliogomea MKATE BILA SIAGI ...NYERERE AKAWATIMUA....!Concetrate katika mwili wa binadamu......CHUO CHA MWALIMU NYERERE AU MZUMBE ,AU CHUO CHA MAHAKAMA LUSHOTO...! WAKIPATA KESI KAMA HII ITAJADILIKA....! "WADUNGA SINDANO WETU WATARAJIWA" HEBU FUATILIENI KWA NINI KLOROKWINI AMBAYO ILIKUWA KIPENZI CHA WENGI IMEFUTWA.....WAKIWAKATALIA KUFANYA UTAFITI WA KLOROKWIN TUTAWAUNGA MKONO.....LAKINI HILI.....ME I SAY NOOO...NOOO....NOOO NADHANI NDIYO MAANA SAMUNGE WATU WANAKIM