A
Anonymous
Guest
Tarehe 01 na tarehe 02 kulifanyika usaili wa wanataaluma Chuo Kikuu Mzumbe.
Kumekuwa na utaratibu usiowazi wa kuwapata vijana wanaojitolea, na hawa ndo wamekua wanufaika wa hizi ajira zinazotangazwa.
Baada ya malalamiko kwenye usaili wa 2023, wakaamua kuacha hata kuweka hadharani majina ya walioitwa kazini ili waendelee kufanya huu utakatishaji wao.
Na hata kwa usaili huu, majina ya watakaopangiwa kazi yatabaki kuwa siri na hayatawekwa hadharani.
Licha ya imani kubwa ya vijana kwa Sekritariati ya ajira lakini, vyuo vikuu huwa vina uhuru wa kutunga mitihani ya usaili wao wenyewe, wanasahisha wao wenyewe, na kwenye usaili wa mahojiano kwa asilimia kubwa jopo linaundwa na watu wa chuo husika.
Usipoteze tena nauli kwenda kwenye usaili Chuo Kikuu Mzumbe, hii kitu binafsi nimeichunguza toka mwaka 2022, zile nafasi zikitangazwa kwa asilimia 99% tayari zinakuwa na walengwa na kinachofanyika ni kukamilisha formalities tu.
Natambua kwa kiasi fulani sektritariati ya ajira walijitahidi kuwabana mwaka huu, lakini bado mianya bado ipo mingi hasa kwa sababu maswali wanatunga wao.
Wito wangu kwa sekritariati ya ajira jitahidi kusimamia hadi mwisho placement mzifanye wenyewe na ziwe wazi na si kificho kama gunia la bangi.