Habari zenu,.naomba mnisaidie kuhusu hichi chuo cha mzumbe... kwa anaetaka kuanza certificate na katokea form four wanachukua vipi?!,mfano TIA wenyewe ukiwa na D 4 unasoma. hapo vipi,?msaada tafadhali
Na hii pia ilihitaji Thread... kwani hauna marafiki au majirani jamani..!
mpaka uwe umemaliza form6 ukapata div 4 au. Uwe na div 3 form 4Habari zenu,.naomba mnisaidie kuhusu hichi chuo cha mzumbe... kwa anaetaka kuanza certificate na katokea form four wanachukua vipi?!,mfano TIA wenyewe ukiwa na D 4 unasoma. hapo vipi,?msaada tafadhali
D. ADMISSION REQUIREMENTS FOR CERTIFICATE PROGRAMMESHabari zenu,.naomba mnisaidie kuhusu hichi chuo cha mzumbe... kwa anaetaka kuanza certificate na katokea form four wanachukua vipi?!,mfano TIA wenyewe ukiwa na D 4 unasoma. hapo vipi,?msaada tafadhali
sikuhizi wamelegeza wanachukua hadi wa kidato cha nne.ila kuna wale waliotoka form 6 na kupata point 3.5 kushuka chini ndio wanasoma certfict mwaka mmoja alafu wakipata second upper class wanasoma bachelor moja kwa moja.pia nasikia mda mwingine wanachukua hadi second class waliotoka 6 na kusoma certfct ya pale .mpaka uwe umemaliza form6 ukapata div 4 au. Uwe na div 3 form 4