KERO Chuo kikuu SAUT usajili umeanza leo lakini hakuna sehemu ya wanafunzi kupata chakula

KERO Chuo kikuu SAUT usajili umeanza leo lakini hakuna sehemu ya wanafunzi kupata chakula

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Uongozi wa chuo wajibikeni kwa hili au mamlaka husika wasaidieni watoto na wazazi walionza fika to wiki iliyoisha hakuna malazi kama vile mahali pa kupata chakula.

Uongozi wa chuo wajibikeni au mamlaka husika wasaidiane

20241021_114037.jpg
 
Yaonesha wewe ni mgeni JF na labda pia huko SAUT.

Kwamba mnajiandikisha, bila shaka shule haijaanza bado.

Yakianza masomo itapendeza kujua kama utaendelea kutukumbuka na hizi mada zako za makula kula.
 
Back
Top Bottom