A
Nyamalango hapo inamaliza shida zake zoteWaende wakale mitaani Nyamalango, Sweya, Nsumba, Kijiweni nk
Akale nyegezi kona huyoNyamalango hapo inamaliza shida zake zote
Umefuata chakula?Uongozi wa chuo wajibikeni kwa hili au mamlaka husika wasaidieni watoto na wazazi walionza fika to wiki iliyoisha hakuna malazi kama vile mahali pa kupata chakula.
Uongozi wa chuo wajibikeni au mamlaka husika wasaidiane
View attachment 3131442
Mwambie aende na MashaYani kwa hakika umethibitisha wewe ni mgeni, ulizia sehemu inaitwa nyamalango.
Akale nyegezi kona huyo
Mwambie aende na Masha