Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naombeni mnisaidie galama za lazima kulipa unapojiunga SUA yaani ambazo nilazima ulipe ili wakuadmit
Nasubiri msaada wenu
galama= gharamanaombeni mnisaidie galama za lazima kulipa unapojiunga SUA yaani ambazo nilazima ulipe ili wakuadmit
Nasubiri msaada wenu
sijakuelewa mkuu
Unahitaji nn hasa hebu eleza nikusaidie mkuu nipo sua
Ada ni 1300000/= kwa mwaka na unatakiwa ulipe nusu kwa kila mhula (semister) hakuna excuse yoyote bila malipo accommodation iko nje ya ada kama utakaa hostel utalipa 600 /day na pia utalipa matibabu kama huna bima 150000/= nadhani nimejitahidi kama hujaelewa nijuze nikujuze
Kwa uzoefu wangu Baada ya kuingia dvc mwingine(prof gillah) hali imebadilika, unalipa ndio unasajiliwa kama mwanafunzi wa SUA (hii inafanyika kipindi cha usajili)!!! zamani miaka 4 hivi iliyopita ndio mtu unaeza soma bila hata kulipia!!! now days you pay ndio wanakutambua kama mwanafunzi wa SUA!!! kwa kuongezea tu, ada ya afya ni 60000 kwa mwaka ila kama unabima ya afya inapungua!!!Nimefungua web yao nachoomba ni uzoefu wa waliopita sua
sasa nataka nijue
>library
>book&stationally
>caution
>medical
hizi naweza nisilipe mda wa kuingia nikalipa baadae hata mwezi baadae?
Kwa uzoefu wangu Baada ya kuingia dvc mwingine(prof gillah) hali imebadilika, unalipa ndio unasajiliwa kama mwanafunzi wa SUA (hii inafanyika kipindi cha usajili)!!! zamani miaka 4 hivi iliyopita ndio mtu unaeza soma bila hata kulipia!!! now days you pay ndio wanakutambua kama mwanafunzi wa SUA!!! kwa kuongezea tu, ada ya afya ni 60000 kwa mwaka ila kama unabima ya afya inapungua!!!
naombeni mnisaidie garama za lazima kulipa unapojiunga SUA yaani ambazo nilazima ulipe ili wakuadmit
Nasubiri msaada wenu