Chuo kikuu SUA

Chuo kikuu SUA

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,215
Reaction score
322
naombeni mnisaidie garama za lazima kulipa unapojiunga SUA yaani ambazo nilazima ulipe ili wakuadmit
Nasubiri msaada wenu
 
Fees inategemea na Course unayotaka kusoma.

Nimefungua web yao nachoomba ni uzoefu wa waliopita sua
sasa nataka nijue
>library
>book&stationally
>caution
>medical
hizi naweza nisilipe mda wa kuingia nikalipa baadae hata mwezi baadae?
 
Maelekezo jaman mbona mmepotea
 
Unahitaji nn hasa hebu eleza nikusaidie mkuu nipo sua

Mkuu hizo fee hapo juu nilazima zilipwe ndo usajiliwe? pia ulipaji wa ada kwa mtu anae endelea nilazima ulipe zote mwanzo wa semister? naje kama ukipeleza watakupamda gani wa mwisho kukamilisha?
 
Ada ni 1300000/= kwa mwaka na unatakiwa ulipe nusu kwa kila mhula (semister) hakuna excuse yoyote bila malipo accommodation iko nje ya ada kama utakaa hostel utalipa 600 /day na pia utalipa matibabu kama huna bima 150000/= nadhani nimejitahidi kama hujaelewa nijuze nikujuze
 
Hapo nimekupata vizuri, asante sana mkuu
 
Nimefungua web yao nachoomba ni uzoefu wa waliopita sua
sasa nataka nijue
>library
>book&stationally
>caution
>medical
hizi naweza nisilipe mda wa kuingia nikalipa baadae hata mwezi baadae?
Kwa uzoefu wangu Baada ya kuingia dvc mwingine(prof gillah) hali imebadilika, unalipa ndio unasajiliwa kama mwanafunzi wa SUA (hii inafanyika kipindi cha usajili)!!! zamani miaka 4 hivi iliyopita ndio mtu unaeza soma bila hata kulipia!!! now days you pay ndio wanakutambua kama mwanafunzi wa SUA!!! kwa kuongezea tu, ada ya afya ni 60000 kwa mwaka ila kama unabima ya afya inapungua!!!
 
Ahsante, mi nilizan nikiwa na ada, hostel, ada ya usajili naweza anza vingine baadae kumbe mpaka nikamilishe vyote, asante kwa msaada
 
naombeni mnisaidie garama za lazima kulipa unapojiunga SUA yaani ambazo nilazima ulipe ili wakuadmit
Nasubiri msaada wenu

Kwa SUA lazma ukamilishe kila kitu ndo unaweza kutambulika kama mwanafunzi..na usajili unafanyika wiki mbili za mwanzo baada ya chuo kufunguliwa..zikipita hizo wanafunga system kwa sababu hapa tunasajili online..
 
Back
Top Bottom