Chuo Kikuu (UDSM) Kufunguliwa na Masharti mapya!

Chuo Kikuu (UDSM) Kufunguliwa na Masharti mapya!

...huu upumbavu wa serikali za wanafunzi sijui una faida gani,siku zote ni politics tuu na hakuna lolote zaidi ya kuwa boost kwa wale wenye ambitions za kuwa politicians in a later life....mara nyingi hizi serikali ni mwanzo wa matatizo tuu na sijawahi kuona chochote wanafunzi wamewahi kufanikiwa kupitia hizi phony govts,its time to quit this nonsense na kuanza kudai haki through legal chanel zinazoeleweka sio huu ubabaishaji ambao wengi still wanaamini wanaweza kupata haki zao through huu upuuzi,nafikiri lawsuit kutoka kwa mwanafunzi mmoja mwenye akili against serikali or administration inaweza kuleta impact kubwa sana (for the better) kuliko hii migomo ambayo haina legal basis yeyote ...enzi za migomo na serikali za wanafunzi zimepitwa na wakati na hazijawahi kumsaidia yeyote sasa sijui kwanini bado watu wanaendelea na hii failure tradition!
 
Back
Top Bottom