jino kwa jino
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 794
- 191
Kwani huko viliko vyuo vinavyotoa Masters vimetoka wapi ? Wewe mbona kama hamnazo !kitokee wap?
Kwa sasa hamna chuo kinachotoa Masters zaidi ya Open University of Tanzania yenye tawi lake Mtwara,na hiyo MBA wanayo.wanafj naomba kufahamishwa kama kuna chuo chochote kinachotoa MBA mkani Mtwara kwa sasa.
shukrani
Senetor wewe una virus wa fikra. Katika kila mjadala unaohusu elimu hasa ya juu, unamitazamo negative. Unasafari ndefu sana, badilika.kitokee wap?
wanafj naomba kufahamishwa kama kuna chuo chochote kinachotoa MBA mkani Mtwara kwa sasa.
shukrani
Kwani bado hujavuna korosho zako?
Haaaa Mtwara NextDream City..... Korosho, mafuta, gesi, bandari!!!!!
The most expensive city in Tanzania!!!!!!
Hizo mali za "Wazungu"Mwafrika hana chake,acha kujifariji!