chuo kinachotoa master's degree mkoani Mtwara

jino kwa jino

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
794
Reaction score
191
wanafj naomba kufahamishwa kama kuna chuo chochote kinachotoa MBA mkani Mtwara kwa sasa.

shukrani
 
Kule kuna Vyuo vya SAUT, TIA, UTUMISHI n.k. Ukiangalia kwa haraka labda hao SAUT. Hapo SAUT nilisikia mwaka huu watachukua watu kwa ajili ya masters. Sina hakika kama MBA ni mojawapo, waone hao kwa taarifa zaidi!
 
thanks mfipa!

nimechek knye web ya SAUT mtwara hawana program ya mastaz
 
Kule kuna Vyuo vya SAUT, TIA, UTUMISHI n.k. Ukiangalia kwa haraka labda hao SAUT. Hapo SAUT nilisikia mwaka huu watachukua watu kwa ajili ya masters. Sina hakika kama MBA ni mojawapo, waone hao kwa taarifa zaidi!

SAUT mtwara kuna undergraduate tu, masterz bado sana. Na kwa kifupi hakuna chuo kinachotoa MASTERS kabsa, fuata hii web ya SAUT mtwara.
www.stemmuco.co.tz
 
mkuu wa kaya alituahidi mtwara itakuwa Dubai ya Africa sasa kuna haja ya vyuo vyetu kutupelekea campas za kufundishia mastaz mtwara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…