Chuo kipi bora kati ya KIU na UDOM ?

nampango wa kuanza chuo mwakani ningependa kujua Chuo kipi bora kati ya KIU na UDOM.
Yaani wewe hujakitendea haki kabisa UDOM.. unaifafanisha na kindergaten au muhalitani primary school!!! KIU..what is this..???
 
All l knw is MZUMBE...KIU NAJUA NI GAZETI FLAN HIVI la udaku,UDOM Uchanga na utawala dhaifu unakitesa but atleast hicho.
 
Sawa sawa na kuuliza hivi kati ya maiti na aliyekufa yupi ana uhai,anyway nenda UDOM ada ndogo na si kwa hao matapeli wa Uganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…