mathcom
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,396
- 518
Yaani wewe hujakitendea haki kabisa UDOM.. unaifafanisha na kindergaten au muhalitani primary school!!! KIU..what is this..???nampango wa kuanza chuo mwakani ningependa kujua Chuo kipi bora kati ya KIU na UDOM.